Mbunifu huyo alisema kutokana na changamoto nyingi zinazowakabili wabunifu wanaochipukia katika tasnia hii ya urembo na mitindo wmejikuta wakishindwa kuendeleza vipaji vyao walivyonavyo vya sanaa ya ubunifu wa mavazi na mitindo,alizitaja baadhi ya changamoto wanazokabiliana nazo ni pamoja na kukosa ufadhili,kutokuwa na pesa za kutoha katika kufanya manunuzi ya matilio yatakayoweza kutengeneza mavazi yao,kukosa masoko ya nguo zao na kutengeneza nguo za kiasili zaidi kutokana na kutokuwa na uwezo. Ata hivyo mbunifu huyo aliomba wanamitindo na wabunifu wakubwa ambao wamejibebea umaarufu mkubwa na kujibebea sifa kemkem katika sanaa hii ya mavazi kama Ali Rymntullah, Mustafa Assanali, Hadija Mwanamboka na wengineo wengi waweze kuwasaidia chipukizi ili kuweza kupata wabunifu wakubwa wa baadae wenye vipaji katika tasnia hii, aliendelea kwa kusema kwamba Swahili fashion ni moja kati ya msaada mkubwa kwa wabunifu wa chipukizi wa sanaa hii ya ubunifu wa mavazi na sanaa ya maonyesho ya mavazi lakini pia aliwaomba wabunifu wakubwa kuweza kuanzisha programu kama hizi katika kuendeleza sanaa hii ya mitindo ya mavazi na maonyesho zaidi
kila la kheri kaka pamoja na changamoto mbali mbali zinazo patikana ila naamin siku moja utaja timiza ndoto zako kimaisha keep it op brother
ReplyDeleteall the best brother
ReplyDeleteNIMEIKUBALI
ReplyDeleteKWELI KAKA AWA WABUNIFU WAKUBWA WANATAKIWA WAWAPE SAPOTI
ReplyDelete